Message>>>:
Simba ni Taifa kubwa tumetolewa kwa zengwe jiulize kwa nini neutral ground iwe egypty (kwa waarabu) na isiwe south africa au nchi nyingine say cameroon au Angola? anyway waarabu siku zote wanaiogopa simba hilo lipo wazi na sasa macho yetu kwenye kombe la shirikisho..eeeh kidedea
0 comments:
Post a Comment